Wasanii wa vichekesho nchini wameanza kuamka na kutambua kuwa Youtube ni mtandao unaoweza kuwapa mkwanja mzuri kama wakiutumia ipasavyo. Joti ameamua kuja na series za vituko vyake ambavyo anaweka Youtube kwaajili ya kuvunja mbavu mashabiki wake. Check hiyo video ya kwanza.
Saturday, 30 April 2016
Home »
Habari Moto
» HATIMAYE JOTI AANZISHA TV YAKE YA VICHEKESHO…TAZAMA KICHEKESHO ALICHOANZA NACHO AKIWA KATIKA NYUMBA YA WEMA SEPETU.Fahamu zaidi hapa.
HATIMAYE JOTI AANZISHA TV YAKE YA VICHEKESHO…TAZAMA KICHEKESHO ALICHOANZA NACHO AKIWA KATIKA NYUMBA YA WEMA SEPETU.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
HABARI NJEMA: Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeshusha Riba kwa Benki Kutoka 12% hadi 9%. Benki Kuu(BoT) imetangaza kushusha riba kwa Benki zinazokopa BoT kutoka 12% iliyokuwepo hapo awali hadi 9%. Kwa mujibu wa taarifa hii ya Naibu Gavana wa Benki Kuu Utawala na Udhibiti wa Ndani, Bi. Julian B. Raphael inataa… Read More
Tarime: John Heche(Mb), Akamatwa na Polisi Kwa Tuhuma za Kuhamasisha Bangi na Uvamizi wa Mgodi. Polisi wamefika Nyumbani kwa Mbunge wa Tarime Vijijini John Heche, sasa Hivi wa naomba kuchukua simu zake zote na wanamueleze Kuwa anatuhumiwa kwa kuchochea wananchi kuvamia Mgodi wa ACIACIA. Kosa la Pili analotuhumiwa na… Read More
Exclusive: Haya Ndiyo Matukio Makubwa yaliyopelekea Mauaji ya Bosi wa IEBC Musando Kuko Kenya. Baada ya taarifa ya Kifo cha aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya IECB Bwana Chris Musando kutokea jana niliweza kujiridhisha ' Kitaarifa ' zaidi kutoka kwa '… Read More
HATIMAYE Aliyekuwa MKE wa Mbunge Sugu Faiza Ally Apata Mtoto Mwingine. Leo ipo good news inayomuhusu Faiza Ally baada ya kujifungua salama mtoto. Kupitia Instagram yake leo August 3, 2017 Faiza Ally amethibitisha kuwa amebahatika kujifungua mtoto, akiweka picha ya mtoto huyo na kuweka manen… Read More
SOMA Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Siku ya Leo. Bonyeza Links Zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply: 6 Jobs Opportunities At TANROADS, Apply Before 11 August 2017 3 Job Opportunities at The School of St Jude 6 Job Opportunities at The Bank of Tanzania 2 Job Opportunitie… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment