Home »
Habari Moto
» #MICHEZO>>> Juventus yatwaa taji la Serie A.Fahamu zaidi hapa.
Klabu ya Juventus imetwaa Ubingwa wa Serie A huko Italy kwa mara ya 5 mfululizo.
Ushindi huo umekuja baada ya Timu ya Pili kwenye Ligi Napoli kufungwa 1-0 na AS Roma huko Stadio Olimpico Jijini Rome.
Juve waliifunga Fiorentina Bao 2-1 na kuhitaji Pointi 1 tu ili
kujihakikishia Ubingwa lakini kipigo cha cha Napoli kimehakikisha
hawawezi tena kuikamata Juve huku Mechi zikibaki 3.
Juve sasa wana Pointi 85 wakifuatiwa na Napoli wenye Pointi 73 na AS Roma wana Pointi 71.
Kwa kutwaa Ubingwa Msimu huu, Juve walionyesha umahiri mkubwa kwani
hapo Oktobo 28 walikuwa Nafasi ya 12 wakiwa Pointi 11 nyuma ya Vinara wa
Serie A.
Lakini baada ya hapo, Juve walishinda Mechi 24 kati ya 25 za Ligi zilizofuatia na kutoka Sare 1.
Katika Mechi hiyo Bao la ushindi la AS Roma lilifungwa Dakika ya 89
na Radja Nainggolan kutokana na ushirikiano mwema wa Mkongwe Totti,
Pjanic na Mohamed Salah
Related Posts:
Makonda atangaza vita nyingine, “hawa ni halali yangu”.Fahamu zaidi hapa.
Siku chache baada ya kutangaza vita dhidi ya dawa za kulevya na
kuanza kuitekeleza kwa kasi, mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
ametangaza vita mpya na makandarasi wasio wawajibikaji.
Makonda ametangaza vita hi… Read More
Kazi Imeanza..Ridhiwani Kikwete Ahojiwa na Tume Dawa za Kulevya, Asema Haya...!!!.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge wa Chalinze jana alihojiwa na tume ya kupambana na kudhibiti
madawa ya kulevya. Alipoulizwa kuhusu kuitwa huko, mwenyekiti wa tume
hiyo, jaji Siang'a amesema kila aliyetajwa kwenye orodha ya wanaohusika
ataitwa. N… Read More
Dr. Makongoro Mahanga Atoweka.....Polisi Waendelea Kumsaka.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa
Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Dk. Makongoro
Mahanga, anayesakwa na Jeshi la Polisi ametoweka nyumbani kwake.
Mahanga
anasakwa na polisi kutokana na amri ya Mahakama Kuu Kanda ya … Read More
Eh..Makubwa Haya..Misri Waja na Mpango Kama Marekani kwa Nchi za Kiafrika...!!!.Fahamu zaidi hapa.
RAIS Abdi El-Fattah Al-Sisi wa Misri amesema nchi yake imejitoa kwa hali
na mali kuimarisha ushirikiano na nchi nyingine za Afrika ili kujiletea
maendeleo ya kiuchumi kwa pamoja.
Alikuwa anazungumza na viongozi 37 wa … Read More
Magufuli amewapasulia jipu wabunge wa CCM.Fahamu zaidi hapa.
Rais John Magufuli amewapasulia jipu wabunge wa CCM kuwa anamuunga mkono
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa hata kama wapo miongoni mwao wanaompinga.
Mbali ya kumkingia kifua Majaliwa, Mwenyekiti huyo wa CCM pia amewaonya
wab… Read More
0 comments:
Post a Comment