Home »
Habari Moto
» #BREAKING NEWZ>>>>Waziri Charles Mwijage Awasimamisha Kazi Mkurugenzi wa TBS Pamoja na Meneja wa Fedha.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage leo
amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa shirika la Viwango Tanzania TBS Bwana
Joseph B. Masikitiko ili kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.
Pia Waziri Mwijage ameagiza Bwana Emmanuel M. Ntelya Meneja wa Fedha,
Mipango na Utawala wa TBS, asimamishwe kazi mara moja kwa kipindi chote
ambacho uchunguzi utakuwa unaendelea. Aidha waziri amemteua Dkt Egid B.
Mubofu, Mkuu wa Idara ya Kemia Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kukaimu
nafasi ya Mkurugenzi wa Shirika la Viwango Tanzania.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Jeshi La Ulinzi La Wananchi Wa Tanzania Lakanusha Kupeleka Wanajeshi Visiwani Zanzibar.Fahamu zaidi hapa.
Jeshi
la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) linapenda kutoa taarifa kwa
Umma juu ya uvumi ulioenea katika mitandao ya kijamii kuwa, limepeleka
Wanajeshi wengi visiwani Zanzibar kwa ajili ya kudhibiti Usalama wakati
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Akagua Na Kuweka Jiwe La Msingi Katika Ujenzi Wa Kituo Cha Kufua Umeme wa Megawat 240 Cha Kinyerezi II Jijini Dar Es Salaam Marchi 16,2016.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiwa na Balozi wa Japan nchini Masaharu Yoshida, Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo, Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi … Read More
Jinsi ya Kuangalia kama Simu ni Feki.Fahamu zaidi hapa.
Hivi karibuni zilisambaa taarifa kwamba simu feki zote nchini
Tanzania zitazimwa ifikapo mwezi Juni mwaka 2016, makala hii itakuonesha
jinsi ya kuangalia kama simu yako ni feki ama la.
Hatukuweza
kuthibisha moja kwa … Read More
#YALIYOJIRI>>>RC Makonda Atema Cheche,Atoa Masaa 24 Kwa Wakuu wa Idara Kumpa Ripoti ya Matatizo ya Wananchi.Fahamu zaidi hapa.
MKUU
wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amewagiza wakuu wa idara wa
Halmashauri za jiji la Dar es Salaam kutoa ripoti za matatizo ya
wananchi na jinsi walivyojipanga ndani ya masaa 24.
Makonda
ameyasema hayo w… Read More
#YALIYOJIRI>>>Uchaguzi Zanzibar: Chama cha CUF kimewataka wanachama na wananchi wote kukaa ndani siku ya upigaji kura katika Uchaguzi wa Marudio.Fahamu zaidi hapa.
Siku
ya Jumapili, tarehe 20 Machi 2016, Zanzibar itashuhudia, kwa mara
nyingine tena, ubakwaji wa demokrasia kwa kufanyika kile kinachoitwa
Uchaguzi wa Marudio’ kufuatia tamko binafsi la Mwenyekiti wa Tume ya
Uchaguzi y… Read More
0 comments:
Post a Comment