Msafara wa waziri wa sheria na katiba Dr. Harrison Mwakyembe jana ulipata ajali baada ya gari lililokua limembeba Mkurugenzi wa mashtaka na makosa ya jinai DPP Biswalo Mganga kupinduka katika kata ya Bwanga wilayani Chato wakitokea mkoani Geita.
Thursday, 14 July 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>Picha 3 za Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe jana.Fahamu zaidi hapa.
#YALIYOJIRI>>>Picha 3 za Ajali iliyotokea kwenye msafara wa Waziri Mwakyembe jana.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Picha ziko hapa za Rais Magufuli Na Rais Kagame Wakiwa Nchini Rwanda. … Read More
Habari Katika Magazeti ya siku ya Leo Jumatano ya April 6 yako hapa. … Read More
Ilikuwa ni mwendo wa majibu ya mkato na mafumbo kutoka kwa Gadner tulipotaka atupe mtazamo wake juu ya hit song "NDI NDI NDI" ya Jay Dee.Fahamu zaidi hapa. Camera ya ENewz ilikutana na aliyekuwa mume na pia meneja wa mwanadada Lady Jay Dee, Gadner G Habash na kutaka kupata mtazamo wake juu ya wimbo mpya wa Lady Jay Dee uitwao "Ndi Ndi Ndi", hii ni kutokana stori kuzagaa mi… Read More
Pam D alia na Chid Benz.Fahamu zaidi hapa. Pamela Daffa ‘Pam D Na Mayasa Mariwata MKALI wa Bongo Fleva, Pamela Daffa ‘Pam D’ amesema kuwa, hali aliyonayo Rashid Makwiro ‘Chid Benz’ kwa sasa kutokana na matumizi ya madawa ya kulevya imekuwa ikimnyima usingizi k… Read More
MASKINI NGOZI YA RAY KIGOSI YAANZA KUBABUKA ...TAZAMA HIZI PICHA HAPA. Nguli katika tasnia ya filamu hapa nchini, Vincent Kigosi maarufu kwa jina la Ray, miezi michache iliyopita alifanyiwa mahojiano na eNewz ya EATV nakujibu kuwa uweupe alio nao kwasasa hautokani na mikorogo kama… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment