Tuesday 13 December 2016

Halmashauri Kuu ya CCM Yamteua Rodrick Mpogolo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM upande wa Bara.Fahamu zaidi hapa.

Halmashauri Kuu ya CCM imemteua aliyewahi kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chato na baadaye mshauri wa Rais masuala ya siasa, Bwana Rodrick Mpogolo kuwa Naibu Katibu Mkuu wa chama hicho upande wa Bara, akichukua nafasi ya Rajab Luhwavi aliyeteuliwa kuwa Balozi




Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

 

0 comments:

Post a Comment