Mfanyabiashara Yusuph Manji leo amefika kituo cha polisi kati kama alivyoahidi jana baada ya kutajwa kwenye orodha ya watu 65 na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda.
Yusuph
Manji alifika asubuhi kwenye kituo cha Polisi cha kati ambapo baadaye
alionekana akiwa anatoka nje ya kituo kuondoka lakini ghafla akazuiwa
na Polisi na kumwambia anahitajika ndani ten.
==>Litazame tukio zima hapo chini
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment