Home »
Michezo
» Yanga yatoa kipigo takatifu Comoro cha NGAYA 1 VS 5 YANGA (FULL TIME).Fahamu zaidi hapa.
Timu ya Yanga yaanza vizuri michuano ya clab Bingwa Afrika baada ya kuifunga goli Ngaya 1-5 Yanga kwenye uwanja wa wao timu ya Ngaya kutoka Comoro.
Magoli yamefungwa na:-
Dakika ya
43, Haji Mwinyi anapiga mpira wa mrefu, Chirwa anauwahi na kupiga pasi
safi kwa Zulu ambaye anaachia mkwaju saafi na kuandika bao moja kwa
Yanga.
Dakika ya 45+1, Msuva anaachia mkwaju mkali kutoka pembeni na kuandika bao la pili kwa Yanga.
Dakika ya 59, Kamusoko anamchambua kipa na kutoa pasi safi kwa Chirwa ambaye anaandika bao saaafi kabisa.
Dakika ya, Tambwe anaunganisha krosi safi ya Juma Abdul na kuandika bao la nne.
Dakika ya 66 Said Khalfan anaachia Mkwaju mkali na kuandika bao kwa Ngaya.
Dakika ya73, Kakumusoko anaachia mkwaju mkali kwelikweli unajaa wavuni ilikuwa ni baada ya kupokea pasi ya Niyonzima. Huku upande wa Ngaya, bao lao la kufutia machozi
limepachikwa na Said Khalfan dakika ya 66.
KIKOSI CHA YANGA
1. Deogratius Munishi
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Justin Zullu
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Haruna Niyonzima
Akiba
- Ali Mustafa
- Hassani Kessy
- Oscar Joshua
- Emanuel Martin
- Juma Mahadhi
- Juma Saidi
- Deusi Kaseke
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
BAO LA ISCO "USIKU" LAIKOMBOA MADRID, YAITWANGA GIJON 3-2 NA KUJICHIMBIA KILELENI LA LIGI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
SPORTING
GIJON: Cuellar; Lillo, Mere, Babin, Amorebieta, Lopez; Carmona, Alvarez
(Afif 90), Vesga, Gomez (Cases 69); Cop (Ndi 79).
SUBS NOT USED: Castro, Marino, Canella, Xavier Torres.
GOALS: Cop 14, Ve… Read More
YANGA WAMEFUNGWA MABAO 4-0 DHIDI YA MC ALGER, MAANA YAKE WAMENG'OLEWA KWA JUMLA YA MABAO 4-1.FAHAMU ZAIDI HAPA.
MABAO ya MC Alger yalipatikana katika muda huu:
DK 14
DK 40
DK 66
DK 90+2
Mpira umekwisha na Yanga imetolewa kwa jumla ya mabao 4-1 baada ya kupata ushindi wa bao 1-0 jijini Dar es Salaam.
Mpira
ukiwa katika da… Read More
MBWANA SAMATA ANNUNUA GARI JIPYA LA KIFAHARI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mtanzania Mbwana Samatta anayeichezea KRC Genk ya Ubelgiji leo April 15 2017 amepost tofauti tofauti zikimuonesha akiwa na gari aina ya Mercedes Benz, Samatta ambaye kwa sasa anaishi Ubelgiji kutokana na kufanya kazi na KRC… Read More
Simba yatoka sare na Toto Africans 0 – 0.Fahamu zaidi hapa.
SIMBA SC imekwama leo, baada ya kuambulia sare ya 0-0 mbele ya wenyeji Toto Africans Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza.
Matokeo hayo yanaiongezea pointi moja Simba ikifikisha pointi 62
pamoja na zile tatu za mezani walizopewa… Read More
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufikisha magoli 100 katika michuano ya Ulaya ngazi ya klabu.Fahamu zaidi hapa.
Cristiano Ronaldo na Rais wa Real Madrid Perez akikabidhiwa jezi
inayoonesha idadi ya magoli aliyofunga katika mashindano ya UEFA club
level
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari… Read More
0 comments:
Post a Comment