Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephath Gwajima amemtaka Spika wa
Bunge kuahirisha kikao cha Bunge siku ya kuaga miili ya watoto
waliofariki kwa ajali jana.
Amesema kama Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta aliamuru viongozi kusimama
kuwakumbuka watoto hao itakuwa ajabu kwa Bunge kuendelea na vikao vya
Bunge.
Amesema Spika akiahirisha Bunge kwa siku moja itatoa nafasi kwa wabunge hao kwenda Arusha ili kuomboleza pamoja.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment