Tundu Lissu akamatwa na Jeshi la Polisi.Fahamu zaidi hapa.
TUNDU
Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) anashikiliwa na Jeshi la Polisi katika Kituo Kikuu
cha Kanda Maalumu ya Dar es Salaam
“Nashikiliwa
na polisi hapa Kituo Ki…Read More
Wakulima wakutwa na kilo 5,000 za bangi.Fahamu zaidi hapa.
POLISI mkoani
Morogoro wakishirikiana na kikosi kazi cha taifa cha kupambana na dawa
za kulevya wamekamata tani tano za bangi, mbegu zake zaidi ya kilo 300
na nyara za serikali yakiwemo magamba 42 ya mnyama adimu kakaku…Read More
0 comments:
Post a Comment