Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Vijijini Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jana jioni eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu lakini bahati mbaya akafariki dunia muda mfupi wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.!
Tuesday, 5 April 2016
Home »
Habari Moto
» BREAKING NEWS>>>>MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA APATA AJALI NA KUFARIKI DUNIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
BREAKING NEWS>>>>MWENYEKITI WA CHADEMA IRINGA APATA AJALI NA KUFARIKI DUNIA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Related Posts:
#YALIYOJIRI HIVI PUNDE>>>>CHADEMA yatoa tamko kali kuhusu kuminywa kwa Demokrasia nchini.Watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania (UKUTA)''.Fahamu zaidi hapa. CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO (CHADEMA) MAAZIMIO YA KIKAO CHA KAMATI KUU ILIYOFANYIKA HOTELI YA BAHARI BEACH LEDGER PLAZA, 23-26 JULAI, 2016 1.0 UTANGULIZI Kamati Kuu ya dharura ya Chama iliketi kua… Read More
#YALIYOJIRI>>>Bodi ya Mikopo yatangaza majina 1,091 ya wadaiwa Ambao Hawataki Kulipa (Awamu ya kwanza).Bonyeza Hapa Ujitazame Kama na Wewe Jina Lako Lipo. Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB), inawaarifu wadaiwa wote ambao mpaka hivi sasa hawajaanza kulipa mikopo waliochukua kipindi wanasoma, na wenye majina yao kwenye orodha hii kwamba wamevunja mkataba ku… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Picha ya Mtanzania anayeteswa na Mchina yampeleka Mwigulu Geita. Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amewasili mkoa wa Geita kwa ziara ya kikazi, kubwa ikiwa ni kufuatia taarifa za mateso na mauaji yaliyodaiwa kufanywa na raia wa China wanaomiliki sehemu ya mgodi wa Ny… Read More
#YALIYOJIRI>>>Rais Magufuli Atengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara Dkt. James Munanka Wanyancha.Fahamu zaidi hapa. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mwenyekiti wa Bodi ya Mfuko wa Barabara (Road Fund Board) Dkt. James Munanka Wanyancha. Taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi iliyoto… Read More
#YALIYOJIRI>>>Taarifa Kwa Umma Kutoka Wizara Ya Viwanda Na Biashara.Fahamu zaidi hapa. … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment