Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Rais Magufuli ashiriki katika maadhimisho ya kumbukumbu ya miaka 22 ya mauaji wa Kimbari nchini Rwanda.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakishuhudia wenyeji wao Rais Paul Kagame na
Mama Janeth Kagame pamoja na binti yao wakiweka shada la maua katika
viwanja vya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbali mjijini Kigali, Rwanda, leo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa na wenyeji wao Rais Paul Kagame na
Mama Janeth Kagame wakiwasili katika viwanja vya Kumbukumbu ya Mauaji ya
Kimbali mjini Kigali, Rwanda, leo katika maadhimisho ya kumbukumbu ya
miaka 22 ya mauaji hayo yaliyotokea mwaka 1994 ambapo watu takribani
milioni 1,000,000 waliuawa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na
mkewe Mama Janeth Magufuli wakiweka shada la maua wakishuhudiwa na
wenyeji wao Rais Paul Kagame na Mama Janeth Kagame wakiweka shada la
maua katika viwanja vya Kumbukumbu ya Mauaji ya Kimbali mjijini Kigali,
Rwanda, leo
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na
Rais Paul Kagame kwa pamoja wakiwasha "Urumuri Rutazima" (Mwenge/mwali
wa Matumaini) katika maadhimisho Kumbukumbu ya miaka 22 ya Mauaji ya
Kimbali mjijini Kigali, Rwanda, leo
Related Posts:
UTATA Watawala Majaji na Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro Kujiuzulu..Lissu Afunguka Mazito Juu ya Sakata Hilo.
WAKATI Rais John Magufuli jana akitangaza kuridhia maombi ya kuacha
kazi kwa majaji wawili na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Said Meck
Sadiki, wadau wa sheria wamesema huenda kashfa ya Escrow na dawa za
kulevya vinahusika… Read More
SABABU za Malima Kukamatwa Zaanikwa.
JESHI la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limetaja sababu tatu za
kumkamata aliyekuwa Naibu Waziri wa Fedha na Mbunge wa Mkuranga, Adam
Malima, katika tukio lililombatana na kufyatua risasi tatu angani.
Mtuhumiwa… Read More
Mmiliki wa shule ya Lucky, Waandishi 10 na Meya wa Jiji la Arusha Watiwa Mbaroni.
Mmiliki
wa Shule, Meya wa jiji la Arusha pamoja na waandishi wa habari 10
wamefikishwa kituo cha polisi (Central) kwa kufanya mkusanyiko bila
kibali ndani ya shule ya Lucky Vicent.
Kutoka
Arusha taarifa zinasema kuw… Read More
MBUNGE Susan Lyimo: Kama Kweli Hostel za UDSM Zimejengwa kwa Mil 500, Nitatoa Hela Zijengwe Zingine.
“Naomba CAG afanye ukaguzi maalum katika hostel mpya UDSM na kama kweli
jengo moja linalochukua wanafunzi takribani 390 linagharimu Milioni 500
basi mimi nitatoa Milioni 500 serikali ijenge jengo lingine la ghorofa
tatu… Read More
Taarifa ya ufafanuzi wa mama kuibiwa mtoto pacha katika hospitali ya Temeke.Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilipata
taarifa toka Ofisi ya mkoa wa Dar es salaam na vyombo vya habari kuhusu
malalamiko Bi Asma Juma kuibiwa mtioto wake Pacha alipojifungua katika
hospitali y… Read More
0 comments:
Post a Comment