Jumatatu ijayo wafanyabiashara wadogo wadogo na wengineo wa
wanaofanya shuhulizao Kariakoo pembezoni mwa barabara wataondolewa na Manispaa
ya Ilala.
Izi picha zinazo onekana hapa chini ni wafanya biashara wadogo wadogo ambao wametangaziwa kuondika siki ya jumatatu iyayo ambayo itakuwa Tarehe May 09,2016.
0 comments:
Post a Comment