Le Mutuz Nation akiwa na Diamond Platnumz leo wakielekea Mbeya en route to Kyela ambapo kesho Diamond atafanya Show Kali kwenye ufunguzi rasmi wa Hoteli hiyo mpya ya Kitalii huko Kyela.
Wasanii 20 wanaofuatana na Diamond wakiwa Uwanja wa Ndege wa Songwe baada ya kuwasili Mbeya.
Le
Mutuz With Mwarabu Mlinzi wa Diamond live at Mbeya Songwe Airport
0 comments:
Post a Comment