Home »
Habari Moto
» #Breaking News>>>Kijana mmoja auwawa na wananchi wenye hasila kali huko MABIBO SAHARA.Fahamu zaidi hapa.
Wananchi wenye hasila kali wapiga kijana mmoja mbae inasemeka alikuwa anaiba nguo ambazo zimeanikwa nje,baada ya hapa ndipo wananchi wenye hasila kali kumkimbiza na kumkamata na kumpa kichapo kwenye Uwanja wa "MABIBO SAHARA".
Majira ya saa 4 asubuhi ndopo tukio hilo lilitokea mpaka majira ya saa 6,ndipo shuhuli ya huyo ilikuwa imeisha na kusemekana amekata rohoo hapo hapo.
Kwa habari zaidi endelea kufatilia hii blog"www.hebronmalele.blogspot.com"
Related Posts:
Rais Magufuli: Marufuku kusafirisha mchanga nje ya nchi.Fahamu zaidi hapa.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, amepiga
marufuku usafirishaji wa mchanga wa madini nje ya nchi na ametaka
mchanga wote ufanyiwe uyeyushaji hapa hapa nchini.
Rais
Magufuli ametoa kat… Read More
Mahakama Kuu Dar yatupilia mbali ombi la Freeman Mbowe.Fahamu zaidi hapa.
Mahakama
Kuu ya Tanzania leo March 2, 2017, imetoa uamuzi wa pingamizi la
Serikali dhidi ya maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo, CHADEMA, Freeman Mbowe aliyeiomba Mahakama ilizuie Jeshi la
Polisi k… Read More
MBOWE NA MKEWE WABANWA TENA, TRA YAWABURUZA MAHAKAMANI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mitihani inazidi kumkabili mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na
Maendeleo (Chadema) ambaye pia ni kiongozi wa Kambi Rasmi ya Upinzani
Bungeni, Freeman Mbowe baada ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)
kumfungulia kesi ye… Read More
CCM yamjibu hivi Mjane wa Kapteni Komba kuhusu mafao ya mumewe.Fahamu zaidi hapa.
Chama
Cha Mapinduzi (CCM) kimemtaka Mjane wa Marehemu, Kapteni Komba, Bi.
Salome Komba kufuatilia malipo ya mafao ya mumewe kwa uongozi wa kundi
la Tanzania One Theatre (TOT) ambako ndiko alikokuwa akifanyia kazi.
Na… Read More
#Breaking News>>>Makonda Afunguka Kuhusu Elimu Yake,Atoa Majibu Haya Kwa Wanaoshinda Mitandaoni Wakimsema..!!!.Fahamu zaidi hapa.
KUHUSU ELIMU YAKE
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amefunguka tuhuma
zinazozushwa kupitia mitandao ya kijamii na watu mbalimbali kuhusu elimu
yake na zinazoeleza kuwa amefoji cheti cha mtu mwingine.
Akizu… Read More
0 comments:
Post a Comment