Home »
Habari Moto
» Mmoja wa wa wenye hisa Jamii Media amehojiwa na Jeshi la Polisi kituo cha kati jijini Dar.Fahamu zaidi hapa.
Mmoja wa wenye hisa katika
Jamii Media inayomiliki mtandao wa JamiiForums, ndugu Mike Mushi
amehojiwa na Jeshi la Polisi kituo cha kati jijini Dar.
Inadaiwa huenda akaunganishwa na kesi mojawapo inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Lipumba Amtaka Rais Magufuli Atangaze Mshahara Na Marupurupu Yake.Fahamu zaidi hapa.
Aliyekuwa Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka Rais John
Magufuli atangaze mshahara na marupurupu yake, kwa kuwa amejivisha joho
la kuwa Rais wa wanyonge.
Profesa Lipumba amelieleza gazeti la Mwananchi… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Waziri Mkuu Majaliwa Awatembelea Waathirika Wa Mafuriko Iringa, Apokea Misaada Ya Maafa Ya Sh. Milioni 86/-.Fahamu zaidi hapa.
WAZIRI
MKUU Kassim Majaliwa amepokea misaada mbalimbali yenye thamani ya sh.
milioni 85.88/- kwa ajili ya wananchi walioathirika na mafuriko kwenye
vijiji vya kata ya Mlenge, tarafa ya Pawaga, wilaya ya Iringa vij… Read More
Habari Katika Magazeti ya Leo siku ya Jumanne Ya Februari 23 yako hapa.
… Read More
#YALIYOJIRI>>>Mwanamkakati wa Maalim Seif Aswekwa Ndani Na Jeshi La Polisi Zanzibar.Fahamu zaidi hapa.
Mwanamkakati
wa aliyekuwa mgombea urais wa Zanzibar, Mohamed Sultan Mugheiry,
maarufu kwa jina la Eddy Riyami, amewekwa ndani na Jeshi la Polisi mjini
Unguja kwa tuhuma za kumtukana Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Moham… Read More
#YALIYOJIRI>>>Serikali Yapanga Bei Elekezi Kwa Hospitali Binafsi Ili Kupunguza Mzigo wa Gharama.Fahamu zaidi hapa.
SERIKALI
imesema itatoa bei elekezi katika sekta ya afya hivi karibuni baada ya
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kubariki bei hizo kuanza kutumika kwa lengo
la kuwapunguzia mzigo wa gharama wananchi.
Bei
elekezi kwa v… Read More
0 comments:
Post a Comment