Friday 16 December 2016

#Breaking News>>>Rais Magufuli atengua uteuzi wa uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu.Fahamu zaidi hapa.

Ikulu Dar es Salaam

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.John Bombe Magufuli,Leo tarehe 16 Desemba 2016 ametengu uteuzi wa mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Taifa ya utafiti wa magonjwa ya binadamu (NIMR)
Dkt.Mwele Malecela.

Uteuzi wa mkulugenzi mkuu NIMR atakayejaza nafasi iliyoachwa wazi na Dkt.Mwele Malecela Utatangazwa baadaye.

Gerson Msigwa

Mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu

Dar es Salaam

 16 Desemba 2016


Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

 

0 comments:

Post a Comment