Monday 19 December 2016

HATIMAYE: Mmiliki wa Jamii Forums Atoka Selo Baada ya Kupatiwa Dhamana leo.Fahamu zaidi hapa.

Maxence Melo amepatiwa dhamana muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, baada ya kukaa mahabusu kwa takribani siku 7.

Anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha tovuti ambayo haijasajiliwa nchini.




Download  Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi


Bonyeza Hapa CLICK HERE

 

0 comments:

Post a Comment