Home »
Michezo
» Mavugo akamilisha kipigo kwa Prisons SIMBA 3 VS 0 PRISONS (FULL TIME).Fahamu zaidi hapa.
Simba yaonesha nia ya kusaka ubingwa wa ligi kuu Tanzania Bara timu ya Prisons imecheza na Simba huku,Timu ya Simba ikionekana kumiliki mpira wakati wote.
Dakika
18, krosi ya Bukungu inagongwa na kumkuta Liuzio, anaweka kifuani na
kuandika bao la kwanza kwa Simba leo na la kwanza kwake katika Ligi kuu
Bara
Dakika 28 Ajibu anapokea pasi nzuri ya Mavugo, naye anamchambua kipa wa Prisons kama penalti na kuandika bao safi kabisa.
Dakika 68, Mavugo anaifungia Simba bao la tatu kwa Kichwa akiunganisha krosi ya outer ya Ajibu.
Download Application ya Hebron Male Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
KAZI YA SERENGETI BOYS GABON INAANZA JUMATATU, ANACHOAMINI SHIME HIKI HAPA.
Kocha
wa timu ya taifa vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Bakari Shime
amesema watahakikisha wanapata ushindi dhidi ya Mali katika mchezo wao
wa kwanza wa Kombe la Mataifa Afrika (Afcon) utakaochezwa keshok… Read More
Vikosi vya Yanga na Mbeya City vinavyoanza leo.
Hivi ndio vikosi vya Yanga pamoja na Mbeya City vinavyoingiaUwanja wa Taifa jioni hii kwenye menchi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
YANGA:
1. Beno Kakolanya
2. Hassan Kessy
3. Haji Mwinyi
4. Vicent Bossou
5. Na… Read More
USAJILI Mpya Simba Wavuja..Hawa Hapa Ndio Wachezaji Watakao Ondoka na Watakaoingia.
SIMBA imesikia kilio cha mashabiki wake ambao wamekuwa wakiukosoa
udhaifu uliopo kwenye kikosi chao na sasa uongozi wa timu hiyo umeamua
kufanya kweli, kwa kupanga mikakati ya usajili kimya kimya, ili
kukiimarisha kikos… Read More
SERENGETI WAREJEA TAIFA STARS, WAIDHAMINI NA KUMWAGA SH BILIONI 2.1.
Kampuni
ya Bia ya Serengeti (SBL), imeingia mkataba wa miaka mitatu kuidhamini
Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars wenye gharama ya shilingi bilioni
2.1 za Kitanzania.
Katika
pesa hizo, Serengeti watakuwa wakiipa… Read More
HANS Poppe: Yanga Musishangilie Ngoma Bado ipo Uwanjani.
Hans Poppe amewaambia Yanga wasijiamini na kuona kuwa tayari
wameshauchukua ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu, kwa sababu tu bado
wana mechi nyingi mkononi, tofauti na Simba.
Yanga ipo kileleni ikiwa na pointi 62, sawa… Read More
0 comments:
Post a Comment