- Juventus imefanikiwa kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ikiwa timu ya kwanza kufanya hivyo msimu huu.
Imetinga fainali kwa kuichapa Monaco
ya Ufaransa kwa mabao 2-1 katika mechi iliyoisha hivi punde. Hivyo
kuvuka kwa jumla ya mabao 4-1 baada ya ushindi wa mabao 2-0 ikiwa
ugenini katika mechi ya kwana.
Mandzukic na Dani Alves ndiyo mashujaa
wa leo wa Juve baada ya kufunga mabao hayo mawili lakini kinda Kylian
Mbappe, naye alifunga bao moja la kufutia machozi kwa timu yake.
VIKOSI:
- Juventus:
- Buffon; Chiellini, Barzagli, Bonucci; Dani Alves, Pjanic, Khedira, Alex Sandro; Mandzukic, Dybala; Higuain
- Subs: Neto, Lichtsteiner, Benatia, Asamoah, Marchisio, Rincon, Cuadrado
- Monaco:
- Subasic; Sidibe, Glik, Jemerson, Raggi; Mendy, Moutinho, Bakayoko, Silva, Mbappe, Falcao
- Subs: De Sanctis, Fabinho, Mendy, Diallo, Lemar, Germain, Carrillo.
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment