Monday, 8 May 2017

Picha: Umati uliojitokeza kuaga miili ya watoto Arusha.

Ikiwa leo ndio miili ya wanafunzi wa shule Lucky Vicent inaagwa mkoani Arusha katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid, tumekusongezea hizi picha kadhaa kutoka kwenye tukio hilo.

 Mageti ya Uwanja wa Sheikh Amri Abeid yamefungwa kutokana na idadi kubwa ya waombolezaji huku wengine wakiendelea kuwasili.

Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa 

0 comments:

Post a Comment