Monday, 8 May 2017

TBC YASHAMBULIWA KILA KONA ,KUTOKANA NA KUSHINDWA KURUSHA LIVE KIAGWA KWA MIILI ARUSHA.

Hakika katika televishion iliyowashangaza watanzania wengi ni TBC,hii inatokana na kushindwa kuonyesha live tukio kubwa la msiba wa wanafunzi 32 waliofariki kwa kupata ajali ya gari.Huku baadhi ya televisheni binafsi ka clouds zikitoa taarifa kwa kina na ukaribu wakionyesha kiguswa sana na tukio hilo.Cha ajabu televisheni ya Taifa ambayo ndo ingekuwa karibu sana na tukio hilo.Mitandaoni watu wamelaani sana kitendo cha tbc kutofanya coverage ya moja kwa moja juu ya tukio hili la huzuni kwa taifa.
Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment