Home »
Habari Moto
» Juma Nature Amuonya KR Kuhusu Kubwia ‘Unga’.Fahamu zaidi hapa.
Kwenye mahojiano ya mwisho kati ya KR Mulla na eNewz, KR
alijitambulisha kama Raisi wa Radar Entertainment, ambayo inamilikiwa na
TID, na siku za karibuni TID na KR wameonekana kuwa marafiki ukiachilia
mbali kufanya kazi pamoja ndani ya Radar Entertainment.
Juma Nature ambaye aliwahi kufanya muziki ndani ya kundi la Wanaume
Family pamoja na KR Muller ameamua kumpa onyo KR asije akashawishiwa na
swahiba wake TID kuanza kutumia madawa ya kulevya yaani “Unga”. kutokana
na stori zilizozagaa mjini kumjumuisha TID kwenye orodha ya wasanii
wanaotumia madawa ya kulevya.
Zaidi Juma Nature alikataa kukubali kuwa KR ni Raisi wa Radar
Entertainment kwa kuiambia eNewz kuwa “Hata huyo TID mwenyewe sio Rais,
sasa KR ni Rais wa wapi? Rais ni Magufuli tu”. Alisema Msitu wa Vina
Juma Nature.
Eatv.tv
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>>ACT-Wazalendo walaani kauli ya Serikali kutowajengea wananchi......Wadai kauli hiyo ni fedheha kwa waathirika na Wadau.Fahamu zaidi hapa.
Watanzania
wanakumbuka kuwa mnamo tarehe 10 Septemba, 2016 lilitokea tetemeko la
ardhi katika eneo la Kanda ya Ziwa na hususan Mkoa wa Kagera.
Tetemeko hilo lilisababisha athari mbalimbali zikiwemo vifo, majeruhi,
uhari… Read More
#YALIYOJIRI>>>TB Joshua Afunguka 'issue' ya kumtabiria Clinton Ushindi Marekani Ambao Uligonga Mwamba.Fahamu zaidi hapa.
Mhubiri mashuhuri raia wa Nigeria TB Joshua amevunja kimya baada ya
utabiri wake kuwa mgombea urais nchini Marekani Hillary Clinton
angeshinda, kugonga mwamba.
Mhubiri huyo alikejeliwa kwenye mitandao ya kijamii wakati u… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Wadaiwa Sugu Bodi ya Mikopo wapewa siku 30.Fahamu zaidi hapa.
Akizungumza
na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa
bodi hiyo Abdul-Razaq Badru amesema kuwa hadi sasa kuna jumla ya
wadaiwa sugu 142,470 wenye mikopo ya shilingi 239,353,750,170.27
iliy… Read More
#YALIYOJIRI>>>Kidato cha Pili Waanza Mitihani leo.Fahamu zaidi hapa.
Wanafunzi
wa kidato cha pili nchini wameanza kufanya mitihani yao ya upimaji leo
katika shule za sekondari 4,669 zilizopo Tanzania Bara.
Jumla ya wanafunzi 435,221 wamesajiliwa kufanya mitihani hiyo wakiwamo 67 wasioo… Read More
#YALIYOJIRI>>>Kulikoni Ikulu, Serikali na CCM Wanachelewa Kutoa Majibu ya Tuhuma za Msingi Kama Hizi?..Fahamu zaidi hapa.
Ndugu wapendwa, kumezuka tuhuma nyingi wiki iliyopita...kwanza ilikuwa
ya mhe. Mbowe bungeni, ya wabubge hupewa ten M, akanyamazishwa.
Tukasubiri tamko la chama tawala kimya, serikalini kimya, ikulu kwa rais kimya hadi le… Read More
0 comments:
Post a Comment