Home »
Burudani
» Bifu la Shilole na Vanessa, Shilole Atangaza Vita…HALI SI SHWARI TENA.Fahamu zaidi hapa.
Akiongea na East Africa TV baada ya kupigiwa smu kujibu tuhuma hizo,
Shilole amesema amechukizwa na kitendo cha Vanessa kuandika mambo mabaya
juu yake na kupost istagram, hivyo ajiandae kwa lolote.
“Ukiona hivyo ujue kimenuka, kaniongelea shit mi sijapenda, tena
mwambieni nikikutana naye atanyooka”, alisema Shilole na kukata simu.
Hapo awali ilisambaa post kweny instagram iliypostiwa na Vanessa Mdee
akimshambulia Shilole, na ndipo Shilole akapost na video kabisa akisema
asioombe akutane naye kwani vibao vyake havielezeki.
Haijashia hapo. Shilole amepost video akimpa ujumbe mwingine mkali zaidi muimbaji huyo wa ‘Niroge.’
“Vanessa nimepata ujumbe wako wa Kiingereza japokuwa nimeusoma kwa
tabu sana lakini nimepata baadhi baadhi,” anasikika akisema kwenye video
hiyo.
“Listen to me my sister, you see me nah, mimi mwenzio nimezaliwa
Igunga, nimezoea kula ugali, sijazoea kula chips mayai kama unavyokula
wewe. So mama ninapiga kuliko maelezo, usiombe kukutana na mimi, au
waulize wenzio waliokutana na vibao vyangu wanaweza kukuambia kwamba
kibao cha Shishi ukikutana nacho lazima uombe Panadol,” anaonya Shishi.
“Aisee bibi, bibie, bibie, I am telling you yaani usiombe kukutana na
Bi Shishi, yaani usiombe ukakutana na mimi tit for tat, yaani mama
Kiingereza chako nimekiona, jipange, I am telling you, If I see you, me
and you.” Shilole alimaliza
Related Posts:
Steve Nyerere, Mama Wema Wafika Pabaya.Fahamu zaidi hapa.
DAR ES SALAAM: Hapatoshi na joto la ugomvi linazidi kupanda kila kukicha
kufuatia mama wa mwigizaji Wema Isaac Sepetu, Mariam Sepetu kuingia
kwenye mgogoro mzito na Mwigizaji Steven Mengere ‘Steve Nyerere’. Wawili
h… Read More
Hussein Machozi Afunguka Mazito...Adai Watu Wake wa Karibu Wanataka Kumpora Mke Baada ya Kushuka Kisanii.Fahamu zaidi hapa.
Kwa
msanii au mtu maarufu, kinga pekee inayomsaidia kuendelea kuwa na
heshima yake, ni kuwa na wimbo unaofanya vizuri ama kuwa na fedha.
Anapokosa
hivyo, mambo hubadilika na hapo ndipo ule usemi wa Fid Q kuwa usupasta… Read More
Mwanamuziki Barnaba Apata Pumziko Jingine Baada ya Kuachana na Mkewe.Fahamu zaidi hapa.
Haya sasa Barnabas Naye ameanza taratibu kutuonyesha MTU wake ama Nene?
Kama wengi mjuavyo Mwanamuziki Barnaba alizenguana na mkewe na kuachana
ambapo aliyekuwa mkewe Siku ya Valentine day alionyesha ulimwengu kuwa
AME m… Read More
CHADEMA Wamwandalia Sherehe Wema Sepetu.......Wapambe Wake 500 Wanaomuunga Mkono Kumfuata.Fahamu zaidi hapa.
Chama
cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema), kimesema kipo kwenye maandalizi
ya kumkabidhi kadi mrembo wa Tanzania mwaka 2006, Wema sepetu, pamoja na
kundi lake lenye zaidi ya watu 500.
Wema
alikuwa mmoja kati ya wan… Read More
RICH Mavoko Atoa Povu Kwa Wanaosema Amekosea Kujiunga na Lebo ya Diamond WCB.Fahamu zaidi hapa.
Muimbaji wa Kokoro, Rich Mavoko amedai kuwa kama bado kuna watu wanaona
uamuzi wake wa kusainishwa na label ya Diamond, WCB ni kujishusha sababu
yeye ni msanii mkubwa, hawaijui biashara yake.
“Mimi nakutana vitu vingi,… Read More
0 comments:
Post a Comment