Tuesday 10 May 2016

#‎BREAKING‬ NEWS>>Bunge limemchagua tena Zungu kuwa Mwenyekiti mpya wa Bunge.Fahamu zaidi hapa.

Bunge la Jamuhuri ya Muungano limemchagua tena Azzan Zungu kuwa Mwenyekiti mpya wa Bunge nafasi ambayo anaitumikia tena kwa mara ya pili.

Akitoa neno la shukrani Zungu amesema nafasi hiyo sio rahisi likini ataitumikia kwa uadilifu tena bila kupendelea upande wowote.Ikumbukwe Zungu aliwania nafasi ya umakamu wa spika lakini bahati haikuwa yake.

0 comments:

Post a Comment