Vitambulisho Maalumu Kutumika Kuingia Katika Machimbo ya Mererani.
Serikali imetangaza utaratibu mpya wa kuingia katika machimbo ya Tanzanite yaliyopo Mererani ambapo kuanzia Februari 15 ni lazima mtu awe na kitambulisho maalumu.Akizungumza na wachimbaji wa madini hayo jana Februari 13 mji…Read More
Akamatwa na Cocaine Kwenye Makalio ya Bandia.
Polisi nchini Ureno wamemkamata mwanamume mmoja kwenye uwanja wa ndege huko Lisbon, ambaye alikuwa amebeba kilo moja ya cocaine kwenye makalio bandia.
Vyombo vya habari nchini humo vilisema kuwa raia huyo wa Brazil aliwasi…Read More
Zuma Kufuata Nyayo za Mugabe Akubali Kujiuzulu Atoa Sharti Hili.
RAIS wa Afrika Kusini, Jacob Zuma ameridhia kuondoka madarakani, baada ya wito uliotolewa na Chama chake tawala cha ANC kumtaka kujiuzulu ndani ya masaa 48. Zuma ameridhia kujiuzulu kwa sharti kwamba, atafanya hivyo baada y…Read More
Kiongozi wa Chadema Auawa Kikatili Mbowe Asimulia Alivyotekwa.
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema kiongozi wa chama hicho katika Kata ya Hananasif, Daniel John amefariki dunia katika mazingira ya kutatanisha.Akizungumza na waandishi wa habari jana Februari 13, 2018, Mbowe ali…Read More
0 comments:
Post a Comment