Nyota
wa Real Madrid, Gareth Bale akipiga shuti linalombabatiza beki wa
Manchester City, Fernando na kuipatia timu yake bao pekee la ushindi
Uwanja wa Bernabeu katika mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Ligi ya
Mabingwa Ulaya. Real Madrid inatinga fainali kwa ushindi wa jumla wa
1-0 baada ya awali kutoa sare ya 0-0 mjini Manchester na sasa watakutana
na mahasimu wao, Atletico Madrid Uwanja wa San Siro mjini Milan Mei 28
Haya chini ndio matokeo ya mchezo
Hizi ni Picha za Matukio.
0 comments:
Post a Comment