Klabu ya Chelsea ya nchini Uingereza imetoa aina yao mpya ya jezi watakazozitumia msimu ujao. Wewe kama shabiki au mpenzi wa Chelsea unaweza ukajipati jezi hizi ambazo ni rasmi kuwa ndizo zitakazotumika msimu ujao.
Wednesday, 4 May 2016
#MICHEZO>>> Picha: Chelsea watoa jezi mpya kwa msimu ujao.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#MICHEZO>>>Picha#Wakati dili la Mourinho likionekana kufa, Ferguson aonekana kwenye mkutano wa siri na Pochettino.Fahamu zaidi hapa. Wakati mashabiki wengi wa Manchester United wakiwa na hasira na hofu baada ya leo asubuhi kushuhudia mchezaji ambaye alikuwa akihusishwa na kujiunga na Man United kwa muda mrefu Renato Sanchez akijiunga na Bayern Munich, … Read More
#MICHEZO>>>>MTOTO WA MCHEZAJI WA ZAMANI WA SIMBA ASAJILIWA VILLARREAL.Fahamuj zaidi hapa. Kinda wa kitanzania Akram Afif mwenye uraia wa Qatar amekuwa mchezaji wa kwanza kutoka Qatar kusajiliwa na klabu ya Hispania. Mtoto huyo wa mchezaji wa zamani wa klabu ya Simba SC Hassan Afif amesajiliwa na Villar… Read More
#MICHEZO>>>Yanga yaendeleza ubora wake ligi kuu Tanzania Bara.Fahamu zaidi hapa. Bao la kwanza la Yanga limefungwa na beki wa kati Vicent Bosou dakika ya 16 kipindi cha kwanza ambaye aliunganisha kwa kichwa krosi ya Juma Abdul aliyeanziwa mpira wa kona na Simon Msuva. Tambwe aliifungia Yanga bao la … Read More
#MICHEZO>>>>MGOSI#WACHEZAJI WA SIMBA TUNASTAHILI KUUAWA.Fahamu zaidi hapa. Mshambuliji na nahodha wa kikosi cha Simba SC Mussa Hassan Mgosi Mshambuliaji mkongwe na nahodha wa kikosi cha Simba SC Musa Hassan ‘Mgosi’ ameshindwa kujizuia kuonesha kusikitishwa na matokeo mabaya ya klabu yake katika… Read More
#MICHEZO>>>KESSY AMALIZANA NA YANGA, ASAINI MIAKA MIWILI.Fahamu zaidi hapa. Aliyekuwa beki wa Simba, Hassan Kessy amesaini Yanga miaka miwili. chanzo- salehjembe blog … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment