Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>>MGOSI#WACHEZAJI WA SIMBA TUNASTAHILI KUUAWA.Fahamu zaidi hapa.
Mshambuliji na nahodha wa kikosi cha Simba SC Mussa Hassan Mgosi
Mshambuliaji mkongwe na nahodha wa kikosi cha Simba SC Musa Hassan
‘Mgosi’ ameshindwa kujizuia kuonesha kusikitishwa na matokeo mabaya ya
klabu yake katika siku za hivi karibuni na kufikia kusema wachezaji wote
wa Simba ndiyo wanastahili kubeba lawama za matokeo hayo na si mtu
mwingine yeyote.
Mgosi hakuishia hapo akaenda mbali zaidi na kusema anadhani wachezaji
wa Simba wanastahili kuuawa wote kwasababu hawaitendei haki timu yao.
Inasikittisha sana, kwa mtu mwenye akili timamu na anayejua Simba
inataka nini, lazima aumie. Nafikiri kama ingekuwa kwenye nchi nyingine
basi ningeruhusu wachezaji wote tuuawe kwasababu hatuitendei haki Simba.
“Kila siku tumekuwa tukisema wenzetu wanapendelewa, sisi tunapata
nafasi tunashindwa kuzitumia mwisho wa siku lazima lawama tukubali sisi.
Mechi ambazo ni muhimu kwetu tunashindwa kucheza, hakuna kulaumu
kiongozi, kocha wala mtu mwingine yeyote, kwasababu wao wanatimiza
majukumu yao wanapeleka timu kambini, watu wanakula, mishahara wanapata,
tukishinda bonus inatolewa sasa hapo kiongozi analaumiwa vipi?”,
anahoji Mgosi ambaye alipata mafaniko na simba katika miaka ya 2005 hadi
2011.
“Lawama zote tupokee sisi wachezaji ndiyo tunasababisha Simba iwe
hivi”, alimaliza nyota huyo aliyetamba na Mtibwa katika misimu ya
2013-14 na 2014-15 kabla ya kurejea tena Msimbazi msimu huu.
Related Posts:
#MICHEZO>>>BREAKING News: Simba, Yanga Marufuku Uwanja wa Taifa.Fahamu zaidi hapa.
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye amezifungia
rasmi timu za Simba na Yanga kutumia uwanja wa Taifa mpaka pale
zitakaporuhusiwa tena na Serikali.
Nape ametoa amri hiyo leo Jumapili ikiwa ni siku m… Read More
#MICHEZO>>>>"Shiza Kichuya" afata rekodi ya "David Beckham" baada ya kufunga goli la kona hii leo.Fahamu zaidi hapa.
Ilikuwa timu ya Yanga kupata goli Tambwe Dk 26 baada ya kugeuka na mpira ukiwa mkononi mbele ya Lufunga na kufunga kirahisi kabisa nakuleta tafulani kwa Mashabiki na Wachezaji wa Yanga na kupelekea kung'oa viti vya uw… Read More
#MICHEZO>>>>STOKE CITY YAIBANA MANCHESTER UNITED KWA SARE YA BAO 1-1.FAHAMU ZAIDI HAPA.
MAN UTD (4-2-3-1): De
Gea 5.5; Valencia 6, Smalling 6, Bailly 6.5, Blind 6; Herrera 5.5
(Depay 83), Pogba 5; Lingard 6 (Martial 67, 7), Mata 7 (Rooney 67, 6),
Rashford 6.5; Ibrahimovic 6
Subs not used: Carrick,… Read More
#MICHEZO>>>>PICHA:MZIKI WA YANGA VS SIMBA ULIVYOKUWA NA KWISHA KWA SARE YA BAO 1-1.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Yanga
dhidi ya Simba, leo ilikuwa bonge la mechi na limeisha kwa sare ya bao
1-1, Yanga wakianza kufunga kupitia Amissi Tambwe kabla ya Simba
kusawazisha kupitia Shiza Kichuya. Cheki picha za action mambo
yalivyok… Read More
#BAD NEWS>>>SERENGETI BOYS IMENG'OLEWA KWA BAO LA DAKIKA ZA MWISHO.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mitandao
yote inayohusika na uonyeshaji mechi kwa kuandika LiveScore iliandika
kwamba timu ya taifa ya vijana, Serengeti Boys imefuzu kucheza Kombe la
Mataifa Afrika itakayofanyika nchini Madagascar, kesho.
Laki… Read More
0 comments:
Post a Comment