Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>USAJIRI Mchezaji wa timu ya Chelsea kutimkia Juventus.
Nemanja
Matic kutimkia Juventus,Inasemekana Chelsea Wameafikiana makubaliano ya
paundi milioni 20 na mabingwa hao wa Serie A.Kocha anaekuja kuchukua
mikoba ya Hiddink,muitaliano Conte hajaridhika na mchezaji huyo kubaki
klabuni hapo
0 comments:
Post a Comment