Home »
Michezo
» #MICHEZO>>>Wakala wa Ibrahimovic amalizana na Man United.Fahamu zaidi hapa.
Baada ya mshambuliaji wa PSG, Zlatan Ibrahimovic kuweka wazi
kuwa ataondoka klabuni hapo baada ya msimu huu kukamilika na kuhusishwa a
baadhi ya vilabu ikiwepo Manchester United, Arsenal na Chelsea,
zimetoka taarifa kuwa Man United wao hawajatuma ofa kumtaka mchezaji
huyo.
Akizungumza na Sky Sports News, wakala wa Ibrahimovic, Mino
Raiola amekanusha taarifa hiyo na kuwa siyo sahihi Manchester United
kuwa wametuma maombi ya kutaka kumsajili mteja wake.
“Katika hii dunia tunatambua kuwa waandishi wa habari wanaandika sawa na mitizamo yao, kuhusu jambo hilo siyo sahihi,
“Najua nini nitafanya mwaka ujao lakini siwezi kukwambia,” alisema Raiola
Related Posts:
#MICHEZO>>>EXCLUSIVE: MO DEWJI AANZA KAZI, AMWAGA SH MILIONI MIA ZA USAJILI SIMBA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Mkurugenzi Mtendaji na rais wa makapumni ya Mohammed Enterprises Ltd
(MeTL Group) Mohammed Dewji ‘MO’ ametoa kiasi cha shilingi milioni 100
kwa klabu ya Simba kwa ajili ya kusaidia zoezi la usajili kama
alivyoahidi siku … Read More
#MICHEZO>>>Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva akamatwa na Takukuru.Fahamu zaidi hapa.
Rais wa klabu ya Simba, Evans Aveva anashikiliwa na Taasisi ya Kupambana na Kuzuia Rushwa (Takukuru).
Taarifa zinaelezwa kuwa Takukuru wanamshikilia Aveva kwa tuhuma za rushwa ingawa haijaelezwa ni tuhuma zipi.
Habari za … Read More
#MICHEZO>>>Rage amemtaka Hans Poppe kumuomba radhi la sivyo atampeleka Mahakamani.Fahamu zaidi hapa.
Mwenyekiti wa zamani wa Simba Ismail Aden Rage, amemtaka Mwenyekiti wa
kamati ya usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe kumuomba radhi ndani ya
siku tatu.
"Nadhani mtu mwendawazimu tu anaweza kufanya hivyo, mke wangu hana… Read More
#MICHEZO>>>>JOHN OBI MIKEL ABADILI JINA.FAHAMU ZAIDI HAPA.
John Obi Mikel ameamua kubalisha jina lake. Jina lake halisi alikuwa
anaitwa Michael John Obi, lakini Shirikisho la Soka nchini Nigeria kwa
bahati mbaya walikosea herufi wakati wakimwandikisha jina lake katika
kikosi c… Read More
#MICHEZO>>>>KAZI IPO, MANJI AWAITA WANACHAMA WA YANGA JUMAMOSI, WANAKUTANA DIAMOND JUBILEE.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Wanachama wa Yanga, watakutana Jumamosi kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.
Ukumbi huo, Juzi Jumapili wanachama wa Simba walipitisha uamuzi wa klabu yao kuacha mchakato wa kuwa kampuni.
Wanacham… Read More
0 comments:
Post a Comment