Baadi ya wasamalia wema wakijaribu kuwaokoa abairia waliokuwa
wamepanda gari aina ya DCM linalofanya safari zake kati ya Gongo la
Mboto na Masaki jijini Dar es Salaam baada ya ya kupiduka leo mchana
eneo la Kipawa Njia Panda ya Jet Lumo, Dar es salaam.
Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa ni kumkwepa mwendesha baiskeli.
Watu kadhaa wanadaiwa kufariki dunia na wengine zaidi ya 50 wamelazwa
katika hospitali za Amana na Muhimbili. (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wananchi wakiliangalia paa la gari hilo lililokatwa kwa kupata urahisi wa kuwatoa majeruhi waliokuwemo kwenye gari hilo
Gari hilo likitarajiwa kuvutwa kuondolewa eneo la tukio
0 comments:
Post a Comment