WAKATI SIKU YA JANA SUMATRA WAKITANGAZA KUANZA KWA HUDUMA YA MABASI YA MWENDO KASI KWA SIKU YA LEO HUKU IKITOA HUDUMA HIYO BURE KWA SIKU MBILI ZA MWANZO,HALI IMEKUWA TOFAUTI BAADA YA HII LEO HAYO MABASI KUTO ONEKANA TOKEA KABISA BARABARANI HUKU WATU WAKIWA BADO WANAYASUBIRI PASIPO MAFANIKIO YEYOTE HUKU IKIWA HAIJULIKANI NINI TATIZO.MTANDAO HUU UTAENDELEA KUFWATILIA NINI KILICHO SABABISHA HALI HII KUTOKEA.
Tuesday, 10 May 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>MABASI YA MWENDO KASI YAGOMA KUANZA KAZI LEO.Fahamu zaidi hapa.
#YALIYOJIRI>>>MABASI YA MWENDO KASI YAGOMA KUANZA KAZI LEO.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
MAGAZETI YA SIKU YA LEO JUMAMOSI JANUARY 9 YAKO HAPA. … Read More
#YALIYOJIRI>>>Basi la Luwinzo Lagongana na Lori Asubuhi Hii,Wawili wafariki Dunia Huku wengine Wakijeruhiwa.Fahamu zaidi hapa. Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam - Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar. Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa n… Read More
#YALIYOJIRI>>>Baada ya Askofu Gwajima Kumkana Lowassa, Dkt. Slaa Amtaka Awaombe Radhi Maaskofu pamoja na Watanzania Kwa Kusema Uongo.Fahamu zaidi hapa. Baada ya Askofu Gwajima kusema kuwa hakuwa akimuunga mkono Lowassa, Dkt. Slaa amemtaka awaombe radhi Maaskofu pamoja na Watanzania kwa kuwadanganya. Amesema hakutegemea Askofu Gwajima kumkana hadharani… Read More
MAGAZETI YA LEO JUMATATU JANUARY 04 YAKO HAPA. … Read More
#HABARI>>>Diamond Amwaga Machozi Ukumbini.Fahamu zaidi hapa. Mbongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, amejikuta akiangua kilio kama mtoto mdogo na kuwashangaza watu kufuatia mashabiki wake kumtaka awaimbie ‘akapela’ ya wimbo wake mpya wa Utanipenda. Tukio hilo ambao … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment