Kashfa ya kuficha fedha ughaibuni (offshore) maarufu kama Panama Papers imechukua muelekeo mpya baada ya shirika la uandishi wa kiuchunguzi duniani (ICIJ) hii leo kuweka wazi majina na nchi za vigogo wanaohusika na kashfa hii. Kufahamu kuhusu wahusika Tanzania na nchi nyingine bonyeza hapa.
Tuesday, 10 May 2016
Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>>Yatazame hapa: Majina ya kashfa ya kuficha fedha ughaibuni (Panama Papers) yawekwa wazi.Fahamu zaidi hapa.
#YALIYOJIRI>>>>Yatazame hapa: Majina ya kashfa ya kuficha fedha ughaibuni (Panama Papers) yawekwa wazi.Fahamu zaidi hapa.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Picha: Mbunge Joseph Mbilinyi (Sugu) alivyonyanyua kidole cha kati akiwa bungeni.Fahamu zaidi hapa. Picha hii ikimuonyesha Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbili maarufu kama Sugu akinyanyua kidole cha kati juu alipokuwa akitoka bungeni wakati wa vikao vya Bunge mjini Dodoma mwezi Juni. Kufuatia kitendo hicho Joseph Mbili… Read More
#YALIYOJIRI>>>Kodi ya Utalii Tanzania Yashtua mataifa Ulaya.Fahamu zaidi hapa. Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye shughuli za utalii iliyoanza mwezi huu, imezishtua nchi 30 za Ulaya ambazo zimeiandikia barua Serikali ya Tanzania zikiomba ifikirie upya au isianze kutumika hadi mwaka ujao.&nbs… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Mizengwe Yasukwa Kumng’oa Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Vuai Ali Vuai.Fahamu zaidi hapa. Wakati Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) unatarajiwa kujadili ajenda kadhaa ikiwamo ya Rais John Magufuli kukabidhiwa uenyekiti wa chama ngazi ya taifa, baadhi ya wajumbe wameanza kupika zengwe kutaka baadhi ya … Read More
#YALIYOJIRI>>>>WAPATA KIPINDUPINDU WAKIWA IBADANI.Fahamu zaidi hapa. WAUMINI zaidi ya 300 kutoka mikoa mbalimbali nchini waliokuwa wameweka kambi kwa ajili ya kushiriki kongamano la Kanisa la Sauti ya Uponyaji la Nabii Joshua, eneo la Kihonda- Veta, Manispaa ya Morogoro wamelazimika kureje… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Waziri Mkuu wa India Kutua Nchini Leo.Fahamu zaidi hapa. WAZIRI Mkuu wa India, Narendra Modi anawasili leo nchini kwa ajili ya ziara ya kitaifa ya siku mbili kwa lengo la kudumisha ushirikiano katika sekta mbalimbali kati ya nchi hizo mbili. Akizungumza na waandishi wa … Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment