Sunday, 10 July 2016
Home »
Habari Moto
» Habari Katika Magazeti ya siku ya Leo Jumapili ya July 10.
Habari Katika Magazeti ya siku ya Leo Jumapili ya July 10.
Related Posts:
#YALIYOJIRI>>>Waziri Mbarawa azindua treni ya pili Dar.Fahamu zaidi hapa. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa amezindua treni ya pili ya abiria jijini Dar es Salaam, inayofanya safari zake kuanzia kituo kikuu cha stesheni hadi Pugu. Akizungumza mara baada ya k… Read More
#YALIYOJIRI>>>Matabibu Mbadala waomba kibali kuishtaki Serikali kuwafutia usajili.Fahamu zaidi hapa. MATABIBU wanne wa Tiba Asilia na Mbadala akiwemo mmiliki wa Kliniki ya Sure Herbal, Simon Rusigwa wamewasilisha maombi ya kuomba ruhusa ya kufungua kesi ya kupinga uamuzi wa kufutiwa leseni za kutoa huduma za kitabibu. … Read More
#YALIYOJIRI>>>TCRA Yavipiga Faini ITV, Clouds Tv na Clouds Fm Radio Kwa Kukiuka Maadili ya Utangazaji.Fahamu zaidi hapa. MAMLAKA ya Udhibiti wa Mawasiliano Tanzania (TCRA) imevipa onyo na kuvipiga faini vituo viwili vya televisheni na kimoja cha redio kwa kukiuka maadili ya utangazaji. Vituo hivyo ni ITV, Clouds Tv na Clouds Fm Radi… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Tundu Lissu: Barua ya Sekretarieti ya Maadili ni njama ya kutengeneza mazingira ya kisheria kunivua Ubunge.Fahamu zaidi hapa. TUMECHOKA kuvumilia! Ni kauli ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) baada ya kudai kusakamwa na Serikali . Chama hicho kimetoa kauli hiyo leo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, b… Read More
#YALIYOJIRI>>>>Serikali Yatoa Siku 14 kutatua changamoto za watumishi Taasisi ya Mifupa Muhimbili (MOI).Fahamu zaidi hapa. Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ametoa siku 14 kwa Bodi ya Wakurugenzi wa Taasisi ya Mifupa (MOI) kuangalia matatizo yaliyopo na kuyafanyia tathmini, huku akisisitiza kambi za upasuaji zirejee na zianze kazi mara moja ifika… Read More
RELATED POSTS
0 comments:
Post a Comment