Tandika: Daladala yagonga Treni, Wawili Wafariki Dunia.
Watu wawili wamekufa na wengine kadhaa wamejeruhiwa katika ajali
iliyotokea leo asubuhi ikihusisha gari ya abiria aina ya coaster
kukigonga kichwa cha treni maeneo ya Yombo Devis Kona.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, G…Read More
Staa wa filamu za Home Alone afariki dunia.
California, Marekani. Mwigizaji John Heard aliyejizolea umaarufu kwa
kuigiza kama baba katika filamu za Home Alone, amefariki dunia akiwa na
umri wa miaka 72.
Mwili wake aligundulika na mhudumu wa hoteli aliyofikuwa…Read More
Picha:train ya kisasa la China.
China yazidi kuwa bora duniani kwa ubunifu ona train ya kisasa hapa kwa ubunifu wa hali ya juu.
Ambalo linachukuwa idadi ya watu 510 na mwendo wake ni 70km/h.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Si…Read More
JESHI la Polisi Lakana Katu Katu Kuwaandama UKAWA na Chadema.
Jeshi la Polisi limekanusha madai kwamba linalenga na kutumia nguvu
kubwa sana kuvinyamazisha vyama vya upinzani nchini na badala yake
limesema kuwa linashughulika na watu wanaovunja Sheria na wakikamatwa
wanasingizia ku…Read More
0 comments:
Post a Comment