Home »
Habari Moto
» PICHA: Rais Magufuli Awasili Mkoani Kilimanjaro kwa Ziara ya siku Tatu ....Pia Atakuwa Mgeni rasmi katika maadhimisho ya May Mosi.
Rais John Pombe Magufuli leo Aprili 29, 2017 amewasili mkoani Kilimanjaro ambapo atafanya ziara ya kikazi kwa muda wa siku tatu.
Sambamba
na ziara hiyo, Rais Magufuli anatarajiwa kuhudhuria sherehe za Sikukuu
ya Wafanyakazi (Mei Mosi) ambapo atakuwa mgeni rasmi.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#BREAKING NEWSS>>>>WATANGAZAJI 6 WA TBC WASIMAMISHWA KAZI ,BAADA YA KUTANGAZA TAARIFA YA UONGO AKIWEPO Gabriel Zhakaria.Fahamu zaidi hapa.
Watangazaji 6 wa TBC 1 walioandaa,
walioandika na kutangaza habari juu ya Rais wa Marekani Donald Trump kumsifia Rais Magufuli wamesimamishwa kazi.
Mkurugenzi wa TBC Ayubu Ryoba alikasirika sana na kuamua kuwasimamisha w… Read More
GWAJIMA AYATAJA MAKOSA HAYA YA PAUL MAKONDA,AMBAYO YANAFAA KUMFUNGA.
MCHUNGAJI GWAJIMA AMEYATAJA MAKOSA YA KISHERIA AMBAYO MAKONDA AMEYAFANYA IKIWA NI PAMOJA NA
KUFUNGA NDOA KWA JINA LA UONGO,
KUTUMIA PASSPORT KWA JINA LA UONGO,
KUPOKEA MSHAHARA KWA JINA LA UONGO,
KULA KIAPO KWA JINA… Read More
Picha 10 za Muonekano wa Jiji la Dar Baada ya Mvua Kubwa Kunyesha.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
&n… Read More
Jakaya Azindua Kikwete Foundation. Wamo Sefue, Mkandara, Bakhressa na Waziri wa Malaysia..!!!.Fahamu zaidi hapa.
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dr Jakaya Kikwete anazindua taasisi yake
muda huu. Miongoni mwa timu ya taasisi hiyo ni Prof Mahalu ambae ni
daktari bingwa wa moyo, Mkandara na Ombeni Sefue huku Kikwete akiwa
mwenyekiti w… Read More
Makonda azindua barabara Jijini Dar es Salaam Leo.Fahamu zaidi hapa.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amesema jiji la Dar es Salaam
linatakiwa kubadilika katika kufikia viwango vya majiji ya kimataifa.
Makonda
ameyasema hayo leo wakati akikabidhiwa barabara ya kurasini i… Read More
0 comments:
Post a Comment