TFF YAMFUNGIA HAJI MANARA KUISEMEA SIMBA KWA MIEZI 12
*Pia ahukumiwa kulipa faini ya sh. milioni 9
Kamati ya Nidhamu ya TFF, imetangaza kumfungia miezi 12 Mkuu wa Idara ya Habari ha klabu ya Simba SSC, ambaye pia ni msemaji wa Simba, Haji Manara.
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Nidhamu ya TFF, Wakili Jerome Msemwa, amesema Manara amefungiwa miezi 12 kwa madai ya utovu wa nidhamu.
Akizungumza na waandishi wa habari muda mfupi uliopita, Msemwa amesema uamuzi huo umefikiwa baada ya kubaini Manara amefanya utovu mkubwa wa nidhamu.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment