Tuesday, 25 April 2017

BENITEZ SI MCHEZO, AIREJESHA NEWCASTLE LIGI KUU ENGLAND.FAHAMU ZAIDI HAPA.

Kocha Rafa Benitez, amefanikiwa kuirejesha tena Newcastle katika Premier League.

Newcastle imeitwnaga Preston kwa mabao 4-1 na kufanikiwa kurejea Ligi Kuu England.

Mabao ya Christian Atsu, Matt Ritchie na Ayoze Perez yameisukuma Newcastle kwenye ligi hiyo maarufu zaidi.


Licha ya kuwa kocha mkubwa lakini Benitez alikubali kuteremka na kurejea na timu hiyo hadi daraja la kwanza akiwa na matumaini ya kuipandisha.


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment