Home »
Habari Moto
» KATIBU WA BUNGE AONGOZA KIKAO CHA UONGOZI LEO MJINI DODOMA.
Mwenyekiti
wa TUGHE Tawi la Bunge, Ndg. Chacha Nyakega (aliesimama) akifafanua
jambo wakati wa kikao cha uongozi kilichofanyika leo katika ukumbi wa
Spika Mjini Dodoma.
Katibu
wa Bunge, Dkt. Thomas Kashililah (kulia) akiongoza kikao cha kamati ya
uongozi kilichofanyika leo ukumbi wa Spika Mjini Dodoma.
Wajumbe
wa kikao cha uongozi wakimsikiliza Katibu wa Bunge, Dkt. Thomas
Kashililah (katikati) akiongoza kikao hicho kilichofanyika leo katika
ukumbi wa Spika Mjini Dodoma
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Related Posts:
#Breaking News>>>>Kiwanda cha Magodoro Dodoma kinateketea na moto hivi sasa.Fahamu zaidi hapa.
AJALI YA MOTO: Kiwanda cha magodoro cha Quality Foam QFL Magodoro Dodoma
kilichopo Mikocheni jijini Dar, kinateketea kwa moto muda huu.
Kwa habari zaidi endelea kufatilia hii blog "www.hebronmalele.blogspot.com" … Read More
Joseph Mungai Kuwagwa Leo Dar...Mwili wa Samwel Sitta Kuwasili Leo.Fahamu zaidi hapa.
Mwili wa aliyekuwa Waziri wa Elimu, Joseph Mungai unatarajiwa kuagwa Dar es Salaam leo katika viwanja vya Karimjee.
Akizungumza
na waandishi wa habari jana, mtoto wa marehemu, William Mungai alisema
ibada … Read More
#YALIYOJIRI>>>Waziri Mkuu wa India aiga wazo la Rais Magufuli na kulitekeleza.Fahamu zaidi hapa.
Wakati
Rais John Magufuli alitishia kubadili fedha za Tanzania katika juhudi
za kuwadhibiti watu wanaodaiwa kuficha fedha, Waziri Mkuu wa India,
Narendra Modi ametangaza kuziondoa kwenye mzunguko noti za Rupia 500 na
1… Read More
Undani wa Kifo cha Mzee Joseph Mungai.Fahamu zaidi hapa.
Mwanasiasa mkongwe na waziri wa zamani wa Serikali ya awamu ya kwanza hadi ya nne, Joseph Mungai, amefariki dunia.
Mungai aliyezaliwa Oktoba 24,1943 alifariki dunia Dar es Saalam jana baada ya kuugua k… Read More
#YALIYOJIRI>>>>MIKOCHENI, DAR: Mchina achana noti ya Shilingi 1,000 na kuifananisha na karatasi ya chooni.Fahamu zaidi hapa.
Mchina achana noti ya Shilingi 1,000 na kuifananisha na karatasi ya chooni. Ni baada ya kuambiwa atoe nauli ya bajaji.
– Polisi wamemkamata na kumpeleka kituo cha Polisi
Mida hii, maeneo ya Mikocheni B, Baraka plaza, raia… Read More
0 comments:
Post a Comment