Wednesday 26 April 2017

NAY wa Mitego Amjibu Shombo Yusuph Mlela..Adai Hawezi Kupigana Naye Kwakuwa Ametolewa 'Marinda'.

Msanii Nay Wa Mitego Amesema Hayo Kufuatia Kauli Ya Msanii Wa Bongo Movie Yusuphu Mlela Kutangaza Kuwa Anataka Vita Na Nay Wa Mitego Kwa Kuingilia Masuala Yao Ya Maandamano Kupinga Cd Za Nje Kuuzwa Bei Rahisi Kuliko Kazi Zao.Hata Hivyo Nay Wa Mitego Hakuishia Hapo Naye Akajibu Kwakusema Hawezi Kupigana Na Wanaume Wa Bongo Movie Waliotolewa Marinda


Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa

0 comments:

Post a Comment