Hali ya Rais wa Nigeria, Muhammadu Buhari, inazidi kua kitendawili kwa
wananchi wa nchini humo baada ya rais huyo kutoonekana kuweza kuyamudu
na kuyatekeleza majukumu yake kama mkuu wa nchi.
Rais Buhari hajahudhuria vikao viwili vya Baraza la Mawaziri hali iliyozua taharuki juu ya afya ya kiongozi huyo.
Mke wa Rais huyo, Aisha Buhari leo amekanusha tetesi za Rais huyo kuugulia maradhi makali kupitia mtandao w twitter na kusema mume wake haumwi kiasi hicho ambacho watu wanahisi. Wananchi wa Nigeria wameanzisha kampeni katika mitandao ya kijamii kwa kiunganishi cha #WhereIsBuhari (Yuko Wapi Rais Buhari).
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment