Serikali imetangaza kuanzisha mkoa mpya wa kipolisi katika wilaya za
Mkuranga, Kibiti, Rufiji na Mafia ili kuimarisha usalama katika maeneo
hayo.
Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amelieleza Bunge leo (Jumanne)
katika hotuba yake ya Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka
2017/18.
Nchemba amesema mkoa huo utaitwa Mkoa wa Kipolisi Rufiji.
Kibiti kumekuwa na matukio mbambali ya mauaji ambayo yamegharimu maisha ya baadhi ya wananchi.
Download Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa
Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa
0 comments:
Post a Comment