Tuesday, 9 May 2017

Balaa: Tembo Wanne Wavamia Chuo Kikuu cha UDOM

likuwa  balaa  leo alfajiri katika maeneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) baada ya tembo wanne kutinga chuoni hapo.
 
Watu wamefurika chuoni hapo kuwaangalia lakini polisi wamewazuia kusogea karibu na eneo walipo tembo hao.
 
Msemaji wa Tanapa, Paschal Shelutete amesema tayari wameshaita askari wa wanyapori kutoka Manyoni kwa ajili kuwaondoa tembo hao.
 
Shelutete amesema askari hao wanatarajiwa kufika wakati wowote kuanzia sasa.
Tembo wakiwa wamejificha katika eneo la Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM). Inadaiwa eneo hilo lilikuwa njia ya wanyama kuelekea maeneo tofauti.
Download  Application ya Hebron Malele Blog Kwenye Simu yako Kusoma Habari Zetu Kwa Urahisi>>>>Bonyeza Hapa

                            Follow me instagram>>>Bonyeza Hapa
                       Facebook page like hapa>>>Bonyeza Hapa
                       Jiunge na group la whatsapp>>>Bonyeza Hapa 

Related Posts:

0 comments:

Post a Comment