Friday 19 February 2016

#YALIYOJIRI>>>Huyu Ndo Binti Aliyeongoza Kitaifa Katika Matokeo ya Mtihani wa Kidato Cha NneFahamu zaidi hapa.

 Huyu ndiye Mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza  Kitaifa katika Mtihani wa Kidato cha Nne  toka  shule  ya  Canossa Girls.Anaitwa Butogwa Charles Shija, akiwa mwenye furaha, nyumbani kwa wazazi wake Kipunguni Jijini la Dar es Salaam jana.
Huyu anaitwa Congcong Wang,ameshika Nafasi ya pili Kitaifa.Amemaliza kidato cha nne Feza Girls.Ni  Mtanzania mwenye asili ya China.

0 comments:

Post a Comment