Thursday 18 February 2016

#YALIYOJIRI>>>>Rais Magufuli Apiga Marufuku Uingizwaji wa Sukari toka Ng'ambo ili Kulinda viwanda vya Ndani na kuvutia wawekezajiFahamu zaidi hapa.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amekutana na makundi mbalimbali yaliyoshiriki katika kampeni za  uchaguzi na kutangaza rasmi kupiga marufuku uagizaji wa sukari kutoka nje ya nchi ili kulinda na kuviendeleza viwanda vya hapa nchini.
==>Tazama  Video  hii  kumsikiliza  Rais  akitoa  amri  ya  kupiga  marufu  uagizaji  Sukari

0 comments:

Post a Comment