Man
City yaimunga timu ya Chelsea kwa magoli matatu(3) kwa sifuli Huku wafungaji wa
Man City wakiwa ni Sergio Aguero dakika
ya 3,Vincent Kompany dakika ya 79 na Luis Fernandinho dakika ya 85.
PICHA 13>>> FARID MUSA ANAVYOWASHIKA SPAIN ZIKO HAPA.
Farid
ameongezewa muda wa wiki moja zaidi kufanya majaribio kwenye klabu ya
Tenerife baada ya kulivutia benchi la ufundi la klabu hiyo
Kinda wa Azam FC Farid Musa anaendelea kufanya vizuri kwenye
majaribio nchini Hispani…Read More
0 comments:
Post a Comment