Tuesday 4 August 2015

#YALIYOJIRI>>>Baadhi ya Wananchi & Makada wa CCM wakimsindikiza Mh.MagufuliJP kuchukua fomu ofisi za NEC leo.




Mgombea wa CCM, John Magufuli akiwa anasindikizwa na mamia ya wanachama wa CCM,akielekea kuchukua fomu ya fomu ya Urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi.
Baada ya kuchukua fomu #Magufuli anasema hivi “Nataka niwambie kuwa nitapeperusha vizuri bendera ya chama bila kujali vyama vyao, simuoni wa kutushinda”.
Baada ya kuchukua fomu Magufuli anasema hivi “Nataka niwahakikishie kuwa tutashinda na tutashinda kwa kishindo kikubwa ili mimi na Mh. Samia tuitumikie TZ”.
Baada ya kuchukua fomu Magufuli anasema hivi “Tusibaguane kwa imani zetu na misingi hiyo imara ambayo tumeachiwa tangu enzi za baba wa Taifa”.
Baada ya kuchukua fomu Magufuli anasema hivi “Napenda niwahakikishie Watanzania na nirudie tena kuwa sitawaangusha”
Baada ya kuchukua fomu Magufuli anasema hivi  “Ikifika wakati wa kampeni nitaelezea mengi, haya nilichomekea tu”.
Toa maoni yako hapa.

0 comments:

Post a Comment