Home »
Michezo
» #MICHEZO>>Ferguson – “Guardiola hawezi kufikia level ya Barcelona ndani ya EPL”.Fahamu zaidi hapa.
Msimu ujao kwenye EPL kutakua na moja ya kocha bora kwenye ligi za
Ulaya naye ni Pep Guardiola akiiongoza club ya Manchester City.
Sir Alex Ferguson mwenye miaka 74 ameulizwa swali kuhusu ujio wa Pep ndani ya EPL. Majibu ya Pep yalikua kama hivi ,
“Bila
kujiuliza maswali mengi Pep ana ethics nzuri kwenye kazi yake, anafanya
hivyo kwenye muda wa mazoezi hadi muda wa mechi. Yeyote anayedhani
kwamba Pep atashindwa kwenye EPL basi inabidi abadirishe mawazo. Man
City wamefanya kitu kizuri kumchukua kwenye timu yao. Lakini Pep hata
kutana na vitu virahisi kwenye EPL, kila kocha anayetoka nje ya England
lazima atakwambia ugumu wa EPL. Pep anaweza kufanikiwa ndani ya EPL
lakini sidhani kama atafikia level ya mafanikio kama alivyokua na
Barcelona, ile ilikua level nzuri sana na walikua vizuri”
Related Posts:
Duh..Straika wa Zanaco Aliyefunga Goli la Kusawazisha Ametoa Kauli Hii Kuhusu Simba...!!!!.Fahamu zaidi hapa.
STRAIKA wa Zanaco ya Zambia, Kwame Attrams, raia wa Ghana, amesema anatamani siku moja kuja kukipiga Simba.
Attrams ndiye aliyeisawazishia Zanaco baada ya Yanga kutangulia kufunga
wakati walipotoka sare ya kufung… Read More
LEVERKUSEN YAJITUTUMUA, YAPATA SARE YA 0-0 UGENINI, LAKINI ATLETICO MADRID YASONGA ROBO FAINALI KWA 4-2.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Pamoja na Bayer Leverkusen kujitutumua
na kupata sare ya bila mabao dhidi ya Atletico jijini Madrid, lakini
imeishia njiani katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Atletico Madrid imesonga mbele kwa ushindi wa jumla wa mabao 4… Read More
TFF hali si shwari’, Mgogoro wafukuta.Fahamu zaidi hapa.
Hali si shwari ndani ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kumebainika kuwa mgogoro baina ya watendaji wa shirikisho hilo.
Habari za ndani zinaeleza, rais wa TFF, Jamal Malinzi amewekwa kiti moto
baada ya kudaiwa kuwabadi… Read More
SHUTI MOJA LA NG’OLO KANTE, CHELSEA YAITWANGA MAN UNITED, YATINGA NUSU FAINALI FA CUP.FAHAMU ZAIDI HAPA.
CHELSEA (3-4-3): Courtois 6.5;
Azpilicueta 7, Luiz 6.5, Cahill 6.5, Moses 7 (Zouma, 89), Kante 9, Matic
7, Alonso 6.5, Willian 7.5 (Fabregas, 80), Costa 6 (Batshuayi, 90+2),
Hazard 8.5
Subs not used: Begovic,… Read More
MAYANGA ATANGAZA KIKOSI TIMU YA TAIFA, KESSY AREJEA STARS, KICHUYA, ABDI BANDA NDANI.FAHAMU ZAIDI HAPA.
Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza kikosi chake kwa ajili ya mechi mbili za kirafiki.
Stars inaweza kucheza na kati ya Zambia na Rwanda au timu nyingine kwa kuwa kumekuwa na taarifa tofauti.
Lakini
kikosi … Read More
0 comments:
Post a Comment