Home »
Habari Moto
» #YALIYOJIRI>>>CCM Yatoa Tamko Baada ya Wabunge Wake Kufikishwa Mahakamani Leo Kwa Tuhuma za Rushwa.Fahamu zaidi hapa.
Kwa kipindi cha hivi karibunin kumekuwepo na tuhuma za baadhi ya wabunge kujihusisha na masuala ya rushwa.
Tuhuma
hizo zimekuwa zikifanyiwa kazi na vyombo vya dola na kwamba tayari
baadhi ya wabunge wamefikishwa mahakamani kwa tuhuma hizo.
Chama
cha Mapinduzi (CCM) kinasikitishwa sana na tuhuma hizo, hasa pale
zinapowahusisha wabunge ambao ni wawakilishi wa wananchi na kinaunga
mkono jitihada za vyombo vya dola katika kutafuta ukweli wa tuhuma hizo.
Lazima
ifahamike kuwa vitendo vya rushwa havina itikadi,dini, wala kabila na
kwamba havikubaliki kwa namna yoyote kwani vina madhara makubwa kwa
taifa.
CCM
inavishauri vyombo vya dola kufanya uchunguzi wa kina na kuwachukulia
hatua stahiki wabunge wote watakaobainika kuhusika na vitendo hivyo vya
rushwa.
Chama
cha mapinduzi kwa upande wake hakitasita kuwachukulia hatua kali za
kinidhamu wabunge wake watakaobainika kuhusika na vitendo hivyo vya
rushwa.
Related Posts:
Mke wa anayedaiwa kutobolewa macho na ‘Scorpion’ atoa ushahidi Mahakamani.Fahamu zaidi hapa.
Stara Sudi, mke wa Saidi Mrisho
ameieleza Mahakama ya Wilaya ya Ilala, jinsi alivyoshtuka baada ya
kupokea simu aliyopiga mumewe kuwa amevamiwa na kuchomwa visu machoni,
mgongoni na tumboni.
Akiongozwa na Wakili… Read More
Auawa Kwa Kuchomwa Kisu Wakati Wakigombea Soda.Fahamu zaidi hapa.
JESHI
la Polisi Mkoa wa Arusha linamshikilia mkazi wa Olasiti, jijini Arusha,
Hamisi Amani (17), kwa tuhuma za kumuua mwenzake wakati wakigombea
soda.
Kwa
mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kamanda wa Polisi, Mkoa wa … Read More
#BREAKING NEWS>>>Dhamana ya Mbunge Lema yakwaa kisiki mahakamani, arejeshwa rumande.Fahamu zaidi hapa.
Mbunge Godbless Lema amerejeshwa tena rumande leo baada ya rufaa yake
ya kupinga kunyimwa dhamana kushindikana kusikilizwa kama ilivyokuwa
imepangwa katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo.
Rufaa hiyo ya Lema iliyokuwa u… Read More
HOJA Sita za rufaa ya Mbunge Lema Kusikilizwa leo.Fahamu zaidi hapa.
Hoja sita za mawakili wa Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema
kupinga kunyimwa dhamana zinatarajiwa kusikilizwa leo mbele ya Jaji wa
Mahakama Kuu, Salma Maghimbi.
Wakili Sheck Mfinanga anayemwakilisha Le… Read More
VIDEO:Rais wa Bolivia Anaswa Akitazama Video ya Ngono Mahakamni.
Rais wa Bolivia, Evo Morales amekumbwa na fedheha kubwa baada ya simu
yae kutoa sauti zinazoaminika ni za watu wanaofanya ngono wakati akiwa
katika kikao ndani ya mahakama.
Mkasa huo umetokea wakati Rais huyo akiwa katik… Read More
0 comments:
Post a Comment