Wednesday 11 May 2016

Alikiba kuachia wimbo mpya Ijumaa hii, Video yake kuoneshwa MTV Base kwa mara ya kwanza.Fahamu zaidi hapa.

Alikiba anaachia video ya wimbo wake mpya ‘Aje’ Ijumaa hii, kuoneshwa kwa mara ya kwanza MTV Base.
“KingKiba Exclusive Music Video Premier this Friday @mtvbaseafrica #Aje#KingKiba#Rockstar4000” Ameandika Meneja wake, Seven Mosha.
Video ya wimbo huo imeongozwa na Meji alabi, muongozaji wa video ya ‘Cheketua’.

0 comments:

Post a Comment